17 July 2013

MABOMBA


Baadhi ya vijana wakichimba mfereji eneo la Jangwani, ikiwa ni maandalizi ya kubadilisha mabomba yaliyoondolewa kutokana na ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo kasi hivi karibuni Dar es Salaam. Pembeni ni mabomba yatakayotumika kwa kazi hiyo

No comments:

Post a Comment