17 July 2013

KIWANDA CHA KUSINDIKA ASALI KUJENGWA IDODI Na Eliasa Ally, Iringa
KAMANDAw a Umoj awaVijana wa ChamaC ha Ma pinduzi (UVCCM) Wilaya yaIringaVijijini,HalfuAbri amesem aanatara jiaku jenga kiwanda chaku sindikaasa likatikaKijijicha Tungamalenga Tarafa ya Idodi.
Aidh a,kujengwa k wakiwanda hichok unalengaku wainuawa nanchi kiuchumi katikaW ilayayaIringaVijijjini ambak okuna JimbolaIsimani naKalengaili kuwaw ez esha wanan chi kufan yashughuliza kufugan yuki na kuuza asali kati kakiwand ahicho.
Abri aliyas emahayoja naofisinikwakeeneola I pogol owi layani hapawakati akizungumza na mwan dishi wahabari hizi.
Kam and a huyoa lisemakuwa, baadayakufanya utafiti katikaeneoku bwalaWilaya yaIringaVijiji niameb ain i kuwawa nanchi wanawe zakupatautajirimkub wa endapowa taweza kujihu sishanashugh ulizakilimoambachoni rafikiwa ma zingira kwa kufu ganyuki.

Hatua ambayo itawasaidia kuuza asalikiwan dani kwake hukuakisi sitizakuendeleakuwapamizin gayab ureambayo itawawe zeshakuf uga nyuk i.
Alisema kuwa, k iwanda hicho ambachokitaitwaRuahaFarmambachokitajengw aTungamale ngakitaweza kununuaas ali kutokakwa wananc hi wenye mizinga ndani ya wilayayaIringaVijijini.
“Kiwa ndaki tafanyak azi za kuchujaasa li,kuandaa ntanakuuzakwenyev iwandavidogovidogo ambavy ovinaten geneza mi shumaa, kutokananamaza ohayoyaasali wananchi wa na wezak ukua zaidikiuchumi na kukabiliana na umas kini.
“Mimi mwenyew etay ari nimeweka mizinga5, 000yanyukikatikae neo laKijiji cha Tunga maleng akweny e shambalangunak iwandah ichonin atarajia kukije ng akwenye eneo lashambahilohi vyon inawa ombawa nanchi katik avijij ivyotendani yawilayaya Iringa waunde vikundi vya watu 50.
“Ili waweze kupatiwa mizinga na ninawaomba viongozi wote wa serikali, mkoa, wilaya na hususani wa vijijini waniunge mkono kwa kuwa kupitia sekta hii ya kufuga nyuki na kuvuna asali wananchi wanaweza kupata kipato kikubwa zaidi,” alifafanua Abri.
Aidha, aliongeza kuwa wazo lake la kujikita katika kufuga nyuki liliibuka baada ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda kuhimiza kuwa ufugaji wa nyuki ni kilimo ambacho ni rafiki wa mazingira na kinaweza kuleta utajiri mkubwa kwa wananchi.
Red emp ta Magin gamk aziwa kijijichaMakifukat ikatar afayaIdod iwilay ayaIr ing aVijijini ali semak uwa,jit iha dazak amandahuyozin ap aswakuigw a nawatu weng ineilikuhar akishamaen deleoIringa Vijijini.
“Tunamshukuru sana Bw. Halfu Abrikwakuwekezaki wandac ha kusin dika asali kati kawilaya yaIringaVij ijini, angewezak wenda kuwek ezamahali pengine popotekatikamik oami ngine.
“Lak iniba doameona kuwa ipo haj akubwa ya kuwaw ezeshawa kazi waw ilayay aIringakiuchum ikwakuf anyashughuliambazoni rafiki wamaz ingira, t unaamin i kuwakutokana na kiwanda hicho vijana  weng iwatapataaj ira, masoko yaasaliy atakuwep onauchumiwa wananchi un aweza kukkasi,” alisemamamah uyo
No comments:

Post a Comment