24 July 2013

AJALI

Wanajeshi wakisaidia wenzao waliopata ajali jana eneo la Mwanakwerekwe sokoni imbali wa mita 300 kutoka makaburi ya Mwanakwerekwe ambapo ndiko walipozikwa wanajeshi waliouwawa Darfur.

No comments:

Post a Comment