Baadhi ya Askari waliopigana Vita ya Pili ya Dunia, ambao ni Wanachama wa Tanzania Legion Clubs (TLC), wakionesha kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) hati mbalimbali za umiliki wa jengo la zahanati na vifaa mbalimbali, Dar es Salaam juzi, ambavyo vimeharibiwa wakati uvunjaji wa jengo hilo. Wanachama hao wamedai Jengo hilo liliuzwa bila idhini yao. Kushoto ni Mjumbe wa Bodi, Bw. Ezekiel Chacha na Juma Fikirini. (Picha na Prona Mumwi)
No comments:
Post a Comment