05 February 2013

MTOTO


Mtoto Renatus Revocatus ambaye ni mkazi wa Keko Mwanga, akienda nyumbani kwao baada ya kutoka kumsaidia mama yake kubeba vyombo badala ya kwenda shule, kama alivyokutwa eneo la Kariakoo Dar es Salaam jana. (Picha na Asia Mbwana)

No comments:

Post a Comment