05 February 2013

MKUTANO


Rais wa Chama cha Mawakala wa Forodha nchini, Bw. Stephen
Ngatunga (kulia), akifungua Mkutano Mkuu wa mwaka wa chama hicho uliofanyika Dar es Salaaam, mwishoni mwa wiki. Mkutano huo ulidhaminiwa na Benki ya NMB ambapo chama hicho kilifungua akauti ya chama katika benki hiyo. (Na Mpigapicha wetu)

No comments:

Post a Comment