05 February 2013

MBOGA


Mtoto Feisa Festo mkazi wa Yombo Buza Bondeni, wilayani Temeke akiuza mboga za majani katika eneo la Yombo Vituka ikiwa ni njia mojawapo za kusaidia pato la familia, kama alivyokutwa Dar es Salaam jana. Mboga hizo huuza sh. 100 kwa kila fungu. (Picha na Asia Mbwana)

No comments:

Post a Comment