05 February 2013

DAWA ASILI


Mkazi wa jiji akiangalia dawa za asili zilizokuwa zikiuzwa makutano ya Mitaa ya Nyamwezi na Uhuru, Dar es Salaam jana. Matumizi ya dawa za asili bila uthibitisho wa ubora yanaweza kuhatarisha usalama wa mtumiaji. (Picha na Charles Lucas)

No comments:

Post a Comment