29 January 2013

LULU KUTOKA RUMANDE

Msanii wa filamu nchini, Elizabeth Michael 'Lulu'  akiongozwa na askari magereza, wakati akitoka Mahabusu ya Mahakama Kuu, Dar es Salaam jana, baada ya taratibu za dhamana kutokamilika. Msanii huyo anakabiliwa na kesi ya kumuua bila kukusudia aliyekuwa msanii wa filamu, marehemu Steven Kanumba. (Picha na Charles Lucas)

1 comment:

  1. Tunaamini kila jambo lina mwanzo na mwisho wake, lakini hakuna mwanadamu ambaye anaweza kuamua jambo juu ya mwingine isipokuwa mungu kwa hiyo ni lazima tutii sheria na mamlaka zilizowekwa ili haki iweze kupatikana. mimi ninaamini mahakama inachokifanya juu ya huyu binti ni sawa. Mungu akuzidishie kumshukuru na kumtolea sifa siku zote.

    ReplyDelete