21 March 2012

Mchezaji Kyrie Irving (kulia) wa timu ya Cleveland Cavaliers, akikimbia na mpira huku akizuiwa na Gerald Wallace New Jersey Nets katika mechi ya Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Marekani (NBA), iliyochezwa juzi New Jersey. Cavaliers ilishinda pointi 105-100. (Picha na Yahoo)

No comments:

Post a Comment